Mzee wa Mshitu,Kadago, Sanga
Frank Sanga, Mkuu Theophil Makunga, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Jamal Rwambow na mzee wa Mshitu.
Kutoka kushoto Joyce Bazira, wa nne kutoka kushoto Mary Mwanjelwa, Mhariri Mtendaji, Theophil Makunga, wa pili kutoka kulia Evelyn Mpasha na wa kwanza kulia Bujaga Izengo Kadago Mahafali hayo yamefanyika jana Malimbe Campus Sain Augustine University of Tanzania (Saut).
Mzee wa Mshitu Yahya Charahani akiwa amekula nondooozz za Masters of Arts in Mass Communications (MA Mass Communications) jana wengine katika picha hiyo ni Mhariri wa Mwanaspoti, Frank Sanga, Mhariri wa Makala Hawra Shamte.

Kutoka shoto ni Abdul Njaidi, fred Maro na Eveline Mpasha katika picha ya pamoja mara baada ya kula nondozzz zao za uzamili katika mawasiliano ya umma ( Master of Mass Communication) katika wa mahafali ya 11 ya chuo kikuu cha Mt. Augustino (SAUT) ambapo Spika alikuwa Mgeni rasmi katika mahafali hayo. Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge
6 comments:
Hongera mkuu wa kujipatia shahada ya uzamili katika Sanaa na Mawasiliano ya Umma. Nakutakia kila la heri!
hongereni jamani kwa 'kuchukua' hizo masters. shule sio kijiko cha asali ati!
Hongera mazee
Kaka hongera sana!
Mkweeeee,Hawra Hongera,Charahani - job searcher international hongera..Sanga mzee wa jumamosi hongera...big up wazeeee..IT MCL kipindi kile cha Waweru na Mnyakyusa yule MD nimemsahau jina
Hongera Mkuu!
Post a Comment