Madaktari wapya haaao IMTU






Wanafunzi wa Chuo kikuu Cha Madaktari IMTU cha Dar es Salaam, wakiapa kiapo cha utii wa utekelezaji wa maadili ya taaluma hiyo, kabla ya kukabidhiwa vyeti vya kuhitimu digrii ya udaktari na upasuaji, wakati wa mahafali ya tatu ya Chuo hicho jijini Dar es Salaam juzi, Picha nyingine inamuonyesha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Jumanne Maghembe akiwa na Maprofesa wengine wa chuo hicho.Picha na Said Powa.

Comments

Anonymous said…
Je, chuo hiki kimeshasajiliwa na kuthibitishwa ubora wake? Kinakubalika? Daktari anayehitimu hapo anaweza kwenda nje na kufanya kazi bila wasiwasi. Kumekuwa na mfumuko mkubwa wa vyuo vikuu Tanzania mpaka vingine ukiviona unashangaa. Udaktari ni taaluma nyeti na tusije tukawa tunafyatua madaktari wasiokubalika. Tutauana sana!