sare mpya mgambo wa jiji Dar


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Willium Lukuvi (wapili kushoto) akikagua gwaride la heshima la Askari wa jiji wakati wa uzinduzi wa sare mpya za Mgambo jijini Dar es Salaam jana. Picha na Venance Nestory

Comments