Tuesday, November 03, 2009

Vodacom Miss Tanzania Miriam Gerald


Vodacom Miss Tanzania Miriam Gerald akiwapungia mkono akiwa ndani ya gari lake lililosajiliwa kabisa baada ya kukabidhiwa jana na wadhamini wakuu wa mashindano ya Miss Tanzania, Kampuni ya Vodacom Tanzania na washirika wake wa huduma, Shivacom jana. Gari hilo lina thamani ya sh. 53.2 milioni. (Picha/Majuto Omary)

No comments:

  Leo Tarehe 29 Juni, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Said Shaib Mussa am...