Kwa wale wapenda ulabu tu Posted by Vempin Media Tanzania on November 15, 2009 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Hii imetokea huko Iran ambako Pombe ni kitu haramu! hii ni operation iliyofanyika mitaani ya kuharibu vitu vyote vya aina ya kilevi ilikufanya watu wasilewe. Jamani hapom mpo?Tukio hili limechangiwa sana na imani za KIDINI!!!!!!! Comments Anonymous said… Ardhi ilikua chakali.Ukihisukumatu chini.
Comments