Sitta na Hosea uso kwa uso


Mkurugenzi Mkuu wa PCCB, Dr. Edward Hosea, amemtembelea Spika wa Jamhuri ya muungano Mh. Samuel Sitta Bungeni leo Dodoma. Pichani Spika akimkaribisha Hosea mara baada ya kuwasili ofisi za Bunge. Kulia ni Mheshimwia Nyalandu

Comments