Rais Jakaya Kikwete afanya mazungumzo na Mubarak wa Misri


Rais jakaya Kikwete akizungumza na rais wa Misri, Hosni Mubarak katika makazi ya rais huyo mjini Cairo juzi. Rais Kikwete yupo nchini Misri kuhudhuria mkutano wa 4 wa ushirikiano baina ya Afrika na China. Picha ya Ikulu

Comments