Waziri Mkuu Pinda Kilimo Kwanza


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama embe wakati alipotembelea Bustani ya Jeshi la Kujenga Taifa ( JKT) kwenye viwanja vya Nanenane Mjini Morogoro jana. Alikuwa safarini kwenda Dar es salaam akitoka Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments