Mkazi wa Kijiji cha Msalato manispaa ya Dodoma, akiandaa shamba tayari kwa kupanda mtama baada ya mvua kidogo kuanza kunyesha katika Mkoa wa Dodoma baada ya miezi mingi ya ukame. wengine ni Vikongwe wa Kijiji cha Bwigiri wilaya ya Dodoma Vijijini, wakijisogeza kupata mgawo wao wa chakula.
Comments