MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA WODI ZA WAZAZI KATIKA HOSPITALI TATU JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa wodi tatu za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 11, 2016.
Kampuni ya Amsons Group imefadhili ujenzi wa wodi za wazazi katika hospitali ya Mwananyamala, Amana-Ilala na Temeke, wodi za kisasa zitakuwa vitanda 150 na ujenzi wake utagharimu bilioni 4.5 mpaka ukamilike.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan(katikati) akisoma maandishi yalioandikwa kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es salaam, kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na kulia ni Meneja wa Biashara wa kampuni ya Amsons Group Bw. Suleiman K.Amour.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.

Kampuni ya Amsons Gropu imefadhili ujenzi wa wodi za wazazi katika hospitali ya Wananyamala, Amana-Ilala na Temeke, wodi za kisasa zitakuwa vitanda 150 na ujenzi wake utagharimu bilioni 4.5 mpaka ukamilike.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dkt. Hamisi Kigwangalla akibadilishana mawazo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa wodi tatu za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 11, 2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua pazia kuashiria uzinduzi kwenye hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa wodi tatu za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 11, 2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan(katikati) akisoma maandishi yalioandikwa kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es salaam, kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na kulia ni Meneja wa Biashara wa kampuni ya Amsons Group Bw. Suleiman K.Amour.
Meneja wa Biashara wa kampuni ya Amsons Group Bw. Suleiman K.Amour akielekeza jambo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanwakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.

Wageni waalikwa.
Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu akizungumza wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam.
Comments