Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Ferdinand Wambali (katikati) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Kushoto ni Naibu Msajili Mwandamizi wa Mahakama Kuu, Eva Nkya. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akisaini hati ya kiapo
mara baada ya kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi
na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Ferdinand
Wambali (katikati) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala
ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Kushoto ni Naibu Msajili
Mwandamizi wa Mahakama Kuu, Eva Nkya. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba (kulia) akipokea hati ya
kiapo kutoka kwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Ferdinand Wambali mara
baada ya Waziri huyo kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la
Polisi na Magereza, jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala
ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi. PICHA
ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA
YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Comments