Monday, October 10, 2016

Kim Kardashian, Barack & Michelle Obama, Selena Gomez, Rihanna


Mkamiti Kibayasi wa Idhaa ya Kimataifa ya Sauti ya America (VOA) kutoka Washington DC.

 Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo.
KARIBU


No comments:

  Leo Tarehe 29 Juni, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Said Shaib Mussa am...