MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA SHEMEJI YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE BAGAMOYO Posted by Vempin Media Tanzania on October 10, 2016 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa mkono wa pole Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Saburi aliyefariki jana na kuzikwa leo huko Bagamoyo leo Comments
Comments