Msaani chipukizi,Mussa Mkumba a.k.a Dogo Jet akionesha uwezo wake jukwaani katika tamasha la kusaka vipaji vya waimbaji wa nyimbo za singeli katika viwanja vya Kisemvule mkoani Pwani.
Msaani chipukizi,Idd Issa a.k.a Mauwezo akionesha uwezo wake jukwaani katika tamasha la kusaka vipaji vya waimbaji wa nyimbo za singeli katika viwanja vya Kisemvule mkoani Pwani.
Mashabiki wakipagawishwa na wasanii waimbaji wa nyimbo za singeli katika viwanja vya Kisemvule mkoani Pwani.
Mashabiki wakipagawishwa na wasanii waimbaji wa nyimbo za singeli katika viwanja vya Kisemvule mkoani Pwani.
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii
Comments