RAIS DKT JOHN MAGUFULI AONGOZA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA DKT DIDAS MASABURI VIWANJA VYA KARIMJEE,JIJINI DAR
VIONGOZI MBALIMBALI WAMEJITOKEZA KUAGA MWILI WA DKT DIDAS MASABURI,VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR LEO .
SANDUKU LENYE MWILI WA MAREHEMU DKT DIDAS MASABURI LIKIWASILI VIWANJA VYA KARIMJEE,JIJINI DAR ES SALAAM ASUBUHI HII KWA AJILI YA KUTOLEWA HESHIMA ZA MWISHO,AMBAPO RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ALIWAONGOZA WANANCHI WALIOFIKA KUSHIRIKI KUAGA MWILI WA DKT DIDAS MASABURI.
Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Kiserikali na Kichama wakiongozwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli (wa tano kulia) wakiwa katika viwanja vya Karimjee mapema leo asubuhi kutoa heshima ya mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Dkt Didas Masaburi,aliyefariki wiki iliopita katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili,wakishiriki
Baadhi ya waombolezaji wakisubiri kuaga mwili wa mpendwa wao Dkt Didas Masaburi
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa chama na serikali pamoja na wananchi mbalimbali waliojitokeza kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt Masaburi,mapema leo viwanja vya Karimjee,jijini Dar Es Salaam.
Sanduku lililobea mwili wa Marehemu Dkt Masaburi likiwasili katika viwanja vya Karimjee,jijini Dar kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho
Comments