Saturday, October 08, 2016

RAIS DKT MAGUFULI MGENI RASMI KWENYE SHEREHE ZA MABOHORA KUADHIMISHA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1438 MSIKITI WA BOHORA UPANGA, DAR ES SALAAM, LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika tamasha la madhehebu ya Bohora leo Oktoba 08, 2016, ambayo yanafanya maadhimisho ya dunia ya sikukuu ya mwaka mpya wa Kiislam Jijini Dar es Salaam

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...