Hamad Ndikumata akitia saini shahada ya ndoa huku bibie Irene Uwoya akishuhudia kwa makini mkubwa
Comments
mama hansel said…
nimependa gauni ya bibi harusi,ila bwana harusi na mahereni mhhh,hapo sija fagalia imekaa vibaya
Anonymous said…
hahahahahahaha ahsante saana mama Hansel afadhali umemuona huyo jamaa hii ni tabia mbaya saana inayochipukia katika jamii yetu ingawa wenyewe vijana wanafagilia miye naona kama ni tabia ya kisenge.
Comments