Tuesday, April 21, 2009

Sagula sagula Kariakoo



Kila mmoja katika jiji hili la maraha la Dar es salaam yuko bize na jambo lake, wapo wanakula raha kama vile wanaishi jijini New York, lakini wapo wengine wanaishi kama vile wapo Soweto ili mradi ni balaa tupu, hebu cheki hapa wabongo wanasagula sagula Kariakoo huku wengine wakitaabika na bidhaa zao juani.

ABSA WAJIONEA MAAJABU YA MIRADI YA NHC DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji wa ABSA Tanzania, Bw. Obedi Laiser akikaribishwa na  Bw. Deogratious Batakanwa ,  Meneja wa Mauzo na Masoko wa NHC kweny...