Miss Universe Tanzania 2007 Flaviana Matata ametua nchini japan kwa mwaliko Rasmi wa Kampuni kubwa ya kuuza magari ya Wilna International akitokea nchini South Africa ambako anafanya kazi za ulimbwende.,kimwana Flaviana matata yupo hapa Japan kwa mazoezi kabla ya kusaini Mkataba wa nguvu na kampuni ya Kimataifa ya Junes Modeling Agency iliyoko Ropongi Nishi Azabu.
Comments