Wednesday, April 08, 2009

Maadhimisho kumkumbuka mzee Karume



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete katikati Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein wa pili kushoto, Rais wa Zanzibar Aman Karume kulia, wakiongoza Wananchi wa Zanzibar katika Dua ya pamoja mbele ya kaburi la aliyekuwa Muasisi na Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Kisiwandui Mjini Zanzibar leo.

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...