Monday, April 27, 2009

Mzee wa sumo apata ajali



MZEE wa Sumo kapata ajali akiwa njiani akirejea jijini Dar alikwenda huko katik maadhimisho ya siku ya Malaria ambapo msanii Yvone Machaka alikuwa mgeni mkubwa huko, ama kwa hakika ajali hiyo haikuwa ya kawaida lakini bahatai njema mzee wa sumo amesevu na anadunda kama kawa na unaweza kumpata kwa kumcheki hapa
katika mtandao wake gari yake ilibiringika mara kadhaa!!!! Kikubwa ni kwamba bado nipo hajafa na yupo mjini Lindi. lakini mchuma tuliokuwa tunasafiria ndio kwisha kazi!!!

No comments:

MAAFISA 84 NA ASKARI 48 WA TAWA WATUNUKIWA VYEO VYA UHIFADHI

  Na Beatus Maganja, Morogoro Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Mlage Yussuf Kabange, Janua...