Hebu cheki vijana wetu wanaotakiwa kuwapo shule angalau wakiperuzi mambo mawili matatu kwaajili ya mustakabali wa maisha yao lakini wao kutokana na shughuli nyingi za wazazi wau mitaa ya huku vijijini wanautumia muda huu muhimu katika maisha yao kwaajili ya kuchunga mifugo hebu fikiria angekuwa mtoto au mdogo wao ungefanyaje kusaidia. Picha ya mdau michael matemanga aliyekuwapo huko Singida hivi karibuni.

Comments