Friday, April 10, 2009

Sheikh Yahya yupo fitii!!!!


Mnajimu maarufu na Mtabiri wa nyota Afrika mashariki ,Sheikh Yahaya Hussen akizungumza na waandishi wa habari jana nyumbani kwake jijini Dar mara baada ya kuwasili toka India kwa matibabu ya ugonjwa wa moyo,pichani kulia ni mkewe Ketty (mama mufti junior). Sheikh huyo alizushiwa kufa akiwa katika matibabu India. Picha kwa hisani ya Mzee wa Sumoooo

No comments:

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao mu...