Friday, January 10, 2014

IGP Ernest Mangu na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi (DIGP) Abdulrahman Kaniki Wazungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam

 

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu  na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi  (DIGP) Abdulrahman Kaniki (kulia)  akizungumza  na waandishi wa habari  Makao Makuu ya Jeshi la Polisi . IGP Mangu aliwataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kuweza kukabiliana na uhalifu na wahalifu. Picha na Hassani Mndeme -Jeshi la Polisi

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...