Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Asha Rose Migiro (kushoto) akipokea maua kutoka kwa Afisa Tawala wa Tume Bi. Suzan Magoti
Mh. Migiro akisalimiana na Mwandishi Mkuu wa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Caritas Mushi
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro akizungumza wakati wa kikao chake na uongozi wa Tume
Kikao cha pamoja baina ya Mhe Waziri wa Katiba na Sheria na Uongozi wa Tume
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanazania Mh. Jaji Aloysius Mujulizi akimpokea WazIri wa Katiba na Sheria Mh. Asha Rose Migiro alipotembelea ofisi za Tume
Mwenyekiti wa Tume Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akizungumza wakati Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Asha Rose alipoitembelea Tume
Washiriki wa Kikao
Sehemu ya Watumishi na ugeni wa Mhe. Waziri wa Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha pamoja
Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso akiwasilisha taarifa fupi ya Tume kwa Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro akipokea Ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso (Picha zote na Munir Shemweta Ofisa Habari wa Tume)
No comments:
Post a Comment