
Mzee Dude enzi za uhai wake.
MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza leo jioni! Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Dar es Salaam – Mchezaji wa klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua , amepata faraja ya kipekee baada ya kutembelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungan...
No comments:
Post a Comment