Wednesday, January 22, 2014

MBUNGE WA CHALINZE, SAID BWANAMDOGO (CCM) AFARIKI DUNIA

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI)  amefariki dunia! SOURCE:Source: EA Radio

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...