Friday, January 10, 2014

Basi La Mtei lachomwa Moto Mkoani Singida Baada ya kugonga Pikipiki (Bodaboda) na Kuua Watu Watatu Hapohapo.


Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikononi. Jana asubuhi basi la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani Singida baada ya basi hilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.

No comments:

KIKWETE ASEMA MFUKO WA UWEKEZAJI WA FAIDA WAKUA KWA KASI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wawekezaji wa Mfuko wa...