Monday, January 20, 2014

WAZIRI FENELLA AWAONGOZA MAMIA YA WATANZANIA KUKIMBIZA KIFIMBO CHA MALKIA

kf2.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini atograph katika bendera za kijana wa Uingereza anayeishi nchini ambaye jina lake alikuweza kupatikana jana Ikulu jijini Dar es Salaam katika hafla ya Kupokea Kifimbo cha Malkia.kf3Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akiongoza mamia ya watanzania kukimbiza Kifimbo cha Malkia jana jijini Dar es Salaam, Kulia ni Balozi wa Ungereza hapa nchini Dianna Patricia Melrose na wakwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga.kf4.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza na Kaimu Mkurugenzi,Idara ya Maendeleo ya Michezo,Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Juliana Matagi Yasodakf5Balozi wa Uingereza hapa nchini (Mwenye Suruali ya Bluu) Diaana Patricia Melrose akicheza ngoma ambayo utumiwa na Waingereza katika sherehe za malkia jana jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu wakati wa hafla ya Kukabithi Kifimbo cha Malkia kwa Rais wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete hayupo pichani.kf6Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mgulani wakiwana nyuso za furaha mara baada ya kupata fursa ya kushika Kifimbo cha Malkia jana jijini Dar es Salaam.

No comments: