Friday, January 24, 2014

SHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE AKIWA DAVOS, USWISI

d1Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi  ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika  Davos Uswisi usiku wa kuamkia Januari 23, 2014d2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe.  Niuck Clegg walipoikutana na kufanya mazungumzo katika hoteli ya Sheraton  Davos, Uswisi January 23, 2014d4Rais Jakaya Mrisho Kikwete kutana na kufanya mazungumzo na  Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton Davos,  Uswisi, January 23, 2014d5Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na  Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton Davos,  Uswisi, January 23, 2014d8Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi, January 23, 2014d9Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana  na Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi, January 23, 2014d12Rais Jakaya Kikwete akishangiliwa baada ya kuhutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi  ya uboreshaji wa kupatikana na kulinda maji nsalama kwa miaka ijayo  katika hoteli ya Derby huku  Davos  Uswisi  Januari 23, 2014.
d13Rais Jakaya Kikwete akikuhutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kuongeza kasi  ya uboreshaji wa kupatikana na kulinda maji nsalama kwa miaka ijayo  katika hoteli ya Derby huku  Davos  Uswisi  Januari 23, 2014.

No comments: