TIMU za Simba na Yanga leo wamekabidhiwa magari yao, kikubwa ni kwamba wamepata mawili Coaster an Hiace!!! watu walizomea walijua wangepewa AScania Marcopolo. lakini angalau wanaweza kumove mjini!!! Big up TBL!!! Vijembe vya Madega na dalali sisemi kikubwa usafiri.
Comments