Haibiwi mtu hapa lazima tupate samaki


Baadhi ya wananchi waliofika kwenye mnada wa samaki jijini Dar es Salaam jana,wakiangalia bidhaa hiyo kabla ya mnada kuanza , ambapo ulishindwa kuendelea kutakana na kutofautiana kwa bei, Serikali ilitaka sh 7,000 na wanachi walitaka iwe Sh 1,500 kwa kilo moja. Picha na Michael Jamson

Comments