DRC 2 Tanzania 0


Kipa machachari wa Timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ya Kabila (DRC )akishangilia kwa staili yake ya kurukaruka kimatakomatako baada ya timu yake kuifunga stars mabao mawili kwa bila.

Comments