vijana wamekwiva si mchezo Posted by Vempin Media Tanzania on February 20, 2009 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Baadhi ya wanajeshi waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule ya mafunzo ya awali ya kijeshi ya Makutupora mkoani Dodoma wakionyesha umahiri wakati wa kufunga mafunzo hayo jana. Jumla ya vijana 1306 wamehitimu mafunzo hayo kati ya 1310. Comments
Comments