Mtaa wa Congo


Jamani mambo yanakuwa juu ya mambo jiji linazidi kufumuka, linapendeza linajaa watu kila kukicha hapa pichani hebu cheki kila mmoja hapa na lake wapo wanaotoka Congo kwenyewe hadi wale wanaotoka huko Nyakitonto, Kanyamahera, Jimbo, Namagondo na kadhalika.

Comments