GTV yafilisika



GTV imesitisha huduma zake Tanzania na sehemu nyingine duniani kwa kile kilichoelezwa kuwa kukumbwa na mgogoro wa fedha hivyo kampuni hiyo kushindwa kutoa huduma zake.

Comments