Thursday, February 05, 2009

Rais huko Dodoma


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma leo wakati Rais alipokwenda chuoni hapo kukagua ujenzi unaoendelea.(picha na Freddy Maro)

No comments:

NGORONGORO YATOA ELIMU YA UHIFADHI SHIRIKISHI NA KUHAMASISHA UTALII MASHULENI

  Na Mwandishi Wetu, Karatu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea na programu ya kutoa elimu ya uhifadhi shirikishi na kuhamasiha utal...