Mambo ya twanga Posted by Vempin Media Tanzania on February 17, 2009 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Duhhh mambo ya Valentine hayakuwa ya kawaida mwanangu hebu cheki mambo yalikuwa juu ya mambo na hata wewe mwenyewe ungekuwapo hakika ungenikubalia kweli ilikuwa si mchezo Twanga ungeipenda mwenyewe maanake ni kujimwaya mwaya tuuuu, au wasemaje Comments
Comments