Thursday, February 12, 2009

Mkwara wa pili kwa magazeti ya kuchafuana


AISEE huyu jamaaa hapo juu ni kiboko yaani yeye hukurupuka na kutoa maamuzi tuu kwa upande fulani lakini katika upande mwingine walaaa, ni hivi majuzi gazeti lao la serika lilichemka na wakalisema hakuchukua hatua lakini eti leo ameobuka na kuyataka magazeti matatu ya ‘Taifa Tanzania’, ‘Taifa Letu’ na ‘Sema Usikike’ kujieleza ndani ya siku saba kwa nini yasifungiwe kutokana na kuandika habari zinazodaiwa kuingilia uhuru wa watu binafsi.

Akizungumza na waandishi wa habari jana Waziri wa wizara hiyo alisema magazeti hayo yanatakiwa kujieleza ndani ya siku saba kuanzia jana kutokana na kuchafua watu na kupandikiza chuki baina watu na watu.

No comments:

MKANDARASI NACHINGWEA ATAKIWA KUHARAKISHA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA MAJI

  Mkandarasi anayetekeleza mradi wa maji wilayani Nachingwea ametakiwa kukamilisha kazi hiyo mapema ili wananchi zaidi ya elfu 45 wanufaike ...