Sunday, February 22, 2009

Mhindi aliyeua mwenzie afia jela


Yule binti wa kihindi, Komal Katakia(22) aliyeolewa na Vinoth Praven (23) raia wa India anayedaiwa kuua muhindi mwenzie anaelezwa kufia gerezani mwishoni mwa wiki.
Binti huyo amabye alionja lupango baada ya mumewe kudaiwa kumuua Abdulbasiti Abdallah (21) alilazimika kuunganishwa katika mashtaka ya mumewe nae akaenda Keko.
Habari za kifo cha Komal zilianza kuenea jijini hapa kuanzia juzi Ijumaa huku baadhi ya watu wakidai kuwa ameuawa na wengine wakisema kuwa amejinyonga.
Taarifa za awali zinasema kuwa mwili wake umepelekw amuhimbili ukiwa na majereha kadhaa, habari zaidi baadae.

1 comment:

Anonymous said...

wasije wakaenda muua mpemba wa watu huko wakajidai ni huyo mdosi kumbe washakula mlungula kama kwa liumba.nchi ina laana hio ngoja sie tujichukulie uraia wa huku

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AMALIZA ZIARA YA SIKU MOJA MKOANI MBEYA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), leo ameondoka Mkoani Mbeya baada ya kukamilisha zi...