Thursday, October 30, 2008

Balaa la mvua jijini Dar es Salaam

Jamani hii ni hali livyokuwa ikionekana juzi baada ya kunyesha mvua jijini Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo la mto kizinga maji yalivunja daraja na watu wa huku kusafiri kwa shida kubwa wengi walikuwa wakibebwa na wengine kujitahidi kuogelea maji mafupi. Picha ya mdau Venance Nestory wa Mwananchi.

No comments:

TANAPA YAZINDUA RASMI APP YAKE KUPANUA UTALII DUNIANI

Na. Calvin Katera - Mikumi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limezindua rasmi Programu Tumizi "App" yake Leo Oktoba 0...