Tuesday, October 14, 2008

Nyerere Day



Askari wa kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa Makutupora wakiangalia sanamu ya Hayati Julius Nyerere wakati wa maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya miaka 9 tangu kifo chake iliyofanyika kimkoa katika viwanja vya mwalimu Nyerere mjini Dodoma . Picha na Jube Tranquilino

No comments:

TANAPA YAZINDUA RASMI APP YAKE KUPANUA UTALII DUNIANI

Na. Calvin Katera - Mikumi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limezindua rasmi Programu Tumizi "App" yake Leo Oktoba 0...