Monday, October 20, 2008

Media Bonanza






Watu walichangamka ile mbaya katika hili media Bonanza kila mtu yuko na mwenzake wanafanya mambo makubwa kimpango kwa ufadhili mkubwa wa kanywaji.

1 comment:

Fita Lutonja said...

Kumbe watu walijisasambua kwelikweli. aseeeee!

USSI-WAFUGAJI WACHANGAMKIE FURSA YA SOKO MACHINJIO YA KISASA VIGWAZA

Mwamvua Mwinyi, Chalinze, April 10,2025 Wafugaji wa mifugo mbalimbali ,wametakiwa kuchangamkia fursa ya soko la ndani na nje ya nchi kupitia...