Monday, October 27, 2008

MOTO WATEKETEZA KITUO CHA MAFUTA MWANZA



Picha za gari aina la scania lenye namba za usajili T 228 AAT likiwa limewaka moto katika kituo cha mafuta cha Mansoor Oil cha jijini Mwanza. Moto huo ulizuka majira ya saa 7.45 mchana na kuzimwa majira ya saa 10.00 jioni. Picha ya Paulina David.

No comments:

TANAPA YAZINDUA RASMI APP YAKE KUPANUA UTALII DUNIANI

Na. Calvin Katera - Mikumi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limezindua rasmi Programu Tumizi "App" yake Leo Oktoba 0...