Sunday, October 12, 2008

Matembezi



Meya wa jiji la Dar es Salaam, Adam Kimbisa (wa pili kushoto) akiongoza matembezi ya kilomita kumi yaliyoandaliwa na Benki ya Barclays kuchangia jamii. Picha ya mdau Salhim Shao.

No comments:

Ujumbe wa DRC watoa msaada kituo cha wakimbizi NMC - Kigoma

  Waziri wa Nchi, anayeshughulikia  Masuala ya Ustawi wa Jamii, Hatua za Kibinadamu na Mshikamano kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (D...