Tuesday, October 07, 2008

Mbowe mzima


mwenyekiti wa CHADEMA, Freman Mbowe akizungumza katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Menonite jana mara baada ya kuwasili Tarime kutoka Jijini Dar es Salaam ambapo alipokewa na maandamano makubwa kutokea mpakani mwa wilaya ya Tarime na Rolya zaidi ya kilometa 25 toka Tarime mjini. Picha na Mussa Juma

1 comment:

Christian Bwaya said...

Ni mpaka kieleweke sio!

Ningekuwa mimi ningewaacha wananchi wa Tarime wampate mbunge wao bila kuingiliwa.

Haya maandamano ya kumpokea yanatupa ujumbe ambao tayari tulishaupata baada ya kutandikwa kwa Mtikila.

Mpaka kieleweke. Hakuna kulala.

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AMALIZA ZIARA YA SIKU MOJA MKOANI MBEYA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), leo ameondoka Mkoani Mbeya baada ya kukamilisha zi...