Friday, July 10, 2009

Morogoro leo




Mfanyabiashara wa kuuza machungwa katika Manispaa ya Morogoro akitayarisha machungwa kwa kumenya maganda huku mteja akirufuhaia kula tunda hilo katika eneo la uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

Mchuuzi wa kuuza nguo za mitumba mjini Morogoro akifurahia jambo huku mteja wake wakati akichagua nguo hicho alizoweka katika beka jirani na stendi ya daladala mjini hapa. (Picha na Juma Mtanda.

Rais Samia atoa Bilioni 15 Maboresho Shule ya Polisi Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu,Kilimanjaro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa  Shilingi Bilioni 25 ikiwa ni utekeleza...