Wednesday, November 14, 2007

Said Kubenea ndani ya nyumba


Jamani eeehhh kijiji chetu kimevamiwa na hivi sasa ameingia mvamizi wa nguvu anatisha kama ukoma mwanamapinduzi Said Kubenea (pichani) jamaa asiyeogopa wala kutishwa kanambia yuko fiti katika hili anga la blogu, anashuka na zote kali tupu h ebu mcheki hapa KUBENEA ili mpate taarifa zaidi.

No comments:

NMB, DSE WAZINDUA MANUNUZI, MAUZO YA HISA KIDIJITALI MKONONI

BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), wamezindua mashirikiano ya kimkakati na ya Kidijitali ya ...