Friday, November 23, 2007

Mkurugenzi wa Tanesco afuta uamuzi wake

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) amefuta uamuzi wake wa kujiuzulu baada ya kukaa na kutaf akari maauzi yake ya juzi na kwamba anarejea kazini bila ya masharti yoyote. Maamuzi haya yamethitishwa na bodi ya Tanesco. Jamani Mna maswaaliiiiii?????

1 comment:

Anonymous said...

Mh mimi na swali, hapo mwanzoni
alikua chini ya shinikizo la nani?
taifa linahitaji kujua Mh charahani maaana wingula wasiwasi
limetanda...
Nduguyo
Admin
www.Haki-hakingowi.blogspot.com

RC ARUSHA APOKEA UJUMBE WA MABUNGE DUNIANI (IPU)

  . Kufanya Mkutano wa Mabunge Mkoani Arusha  .Wajumbe zaidi ya 1500 kutoka nchi wanachama wa IPU kuhudhuria  . Rais Dkt. Samia apendekezwa ...