King Kikiii akiwa na Hussein Jumbe Posted by Vempin Media Tanzania on November 09, 2007 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Hawa jamaa sijui kama kuna asiyewajua ndiyo magwiji wa muziki wa dansi, hivi sasa Hussein yuko huko Mikumi Sound na dingi anadunda town mambo mpwitompwito muziki wa dansi oyyeeeeee!!!!! Comments
Comments